Malipo yote hufanywa kwa njia ya zifuatazo:-
A: Kufanya Malipo kwa Kuweka katika Akaunti ya Benki ya CRDB kupitia Benki au Fahari Huduma
- Jina Benki: CRDB PLC
- Tawi: Bunju
- Jina la Akaunti: Naishozi College of Health and Allied Sciences
- Akaunti Namba. 015C523760000
B: Kufanya Malipo kwa Kutumia M-PESA Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha
- Chagua # 2 – M-PESA kwenda Benki
- Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 015C523760000)
- Weka – kiasi unachotaka kulipa
- Weka namba ya siri – Ingiza namba yako ya siri ya MPESA
- Bonyeza 1 kuthibitisha -Ingiza namba. 1 kukubali malipo
Subiri ujumbe wa kukamilisha muamala wako kutoka Vodacom na CRDB.
C: Kufanya Malipo kwa Kutumia Tigo-PESA Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 01 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Bonyeza # 7 – huduma za kifedha
- Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
- Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
- Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
- Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 015C523760000)
- Weka – kiasi unachotaka kulipa
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB.
D: Kufanya Malipo kwa Kutumia Airtel Money Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 60 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
- Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE”
- Chagua 3: Tuma kwenda Benki
- Chagua 2: Benki ya CRDB
- Weka Nambari ya Akaunti (Namba ya akaunti yetu ni: 015C523760000)
- Weka – kiasi unachotaka kulipa
- Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako
AU
Lipa kwa Mpesa, Tigo pesa, au Airtel Money